Ngome ni nini?  Kwanini Mungu anafananishwa na ngome?

Neno hili utaona likijuridia mara nyingi katika biblia husani katika maneno ya Daudi,  Kwamfano utaona katika  2Samweli 22:2  Daudi anasema… “.Bwana ndiye jabali langu, na ngome yangu, na mwokozi wangu, naam, wangu;” Kwanini amfananishe Bwana na Ngome, Je! Hii ngome ilikuwa ni ipi? JIBU: Zamani karibu kila nchi au taifa kubwa lilikuwa ni lazima liwe … Continue reading Ngome ni nini?  Kwanini Mungu anafananishwa na ngome?