NAWE UTAGEUZWA KUWA MTU MWINGINE.

Mfalme wa kwanza wa Israeli alikuwa anaitwa Sauli. Mungu alivyomchagua mtu huyu, ilikuwa ni nje ya matarijio ya waisraeli wengi sana. Kwasababu ikumbukwe hapo kabla walikuwa hawana mfalme, hivyo baada ya kuona mataifa mengine yaliyokuwa  yanawazunguka yana wafalme hodari na mashujaa na wao pia wakaingiwa na tamaa wakamwomba Mungu awapatie mfalme. Jambo ambalo halikuwa mapenzi … Continue reading NAWE UTAGEUZWA KUWA MTU MWINGINE.