Tofauti kati ya lijamu na hatamu ni ipi kibiblia?

Zaburi 32:9 :Msiwe kama farasi wala nyumbu, Walio hawana akili. KWA MATANDIKO YA LIJAMU NA HATAMU Sharti kuwazuia hao, au hawatakukaribia:. Hatamu ni kifaa, kinachotumika kumwongozea farasi, ikijumuisha ule mkanda unaoshikilia kichwa, na ile kamba inayokwenda moja kwa moja kwa mwongozaji farasi. Kazi ya hatamu ni kumwongoza farasi, na kumpa balansi wakati wa kumwendesha, Tazama … Continue reading Tofauti kati ya lijamu na hatamu ni ipi kibiblia?