TUSIWE WATU WA KUPUNGUKIWA AKILI.

Yeremia 4:22 “Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa”. Shalom,  Mungu anatazamia kila mmoja wetu siku anapofanyika kuwa kiumbe kipya, bidii mpya iumbike ndani yake na hari mpya ya kutafuta kumpendeza yeye kwa namna yoyote … Continue reading TUSIWE WATU WA KUPUNGUKIWA AKILI.