AINA TATU ZA WAKRISTO.

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno matukufu ya uzima, maadamu tumeiona leo. Wakristo wameganyika katika makundi makuu matatu, makundi hayo yanafananishwa na miti ya matunda. Na Miti ya matunda ipo ya aina tatu; Miti inayozaa matunda halisi Miti isiyozaa matunda yoyote Miti inayozaa matunda mwitu. Tukianzana na Miti inayozaa Matunda … Continue reading AINA TATU ZA WAKRISTO.