Je mtu anayeua anabeba dhambi zote za yule aliyemuua?

Jibu: Si kweli kwamba mtu anayeua anakuwa anazibeba dhambi zote za yule aliyemuua, na kwamba yule aliyeuawa yupo huru, (anakuwa hana dhambi tena huko anakokwenda). Kama mtu atamkataa Mungu na ghafla akafa katika dhambi zake, kwa kifo cha aina yeyote ile, iwe kwa kuuawa, au labda kwa kugongwa na gari, au kupewa sumu, au kupigwa … Continue reading Je mtu anayeua anabeba dhambi zote za yule aliyemuua?