Swali: Je Ni sahihi kwa Mkristo kupeleka kesi mahakamani?

Jibu: Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa makosa yote yanastahili msamaha. Hata kama tumetendewa makosa makubwa kiasi gani, mwisho wa siku ni lazima tusamehe, h