Mtu mwenye “kitango” ni mtu wa namna gani kibiblia?
Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; Mithali 20:13 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo. Mithali 20:19 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Basi, usishirikiane naye afunuaye midomo yake sana”. Mtu mwenye kitango kwa lugha ya sasa ambayo ni rahisi kueleweka na watu wengi ni mtu “MMBEA”. Yaani mtu ambaye hawezi … Continue reading Mtu mwenye “kitango” ni mtu wa namna gani kibiblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed