Leo tutajifunza jinsi gani matatizo yetu yanavyoweza kuweza kutupofusha hata tusiione miujiza yetu. Kuna wakati Mungu, anakuwa ameshakwisha anza tayari kututendea miujiza, lakini kutokana na kuwa tunayapa sana matatizo yetu uzito mkubwa kuliko yanavyostahili, inatupelekea hata miujiza yenyewe tuiione kama si kitu pale inapoanza kuja. Embu fikiria wakati Kristo alipokufa na kulazwa pale makaburini, tunaona … Continue reading MAMA UNALILIA NINI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed