Swali: Kurushwa upesi kunakozungumziwa katika Danieli 9:21 ndio kupi?

Jibu: Tusome. Danieli 9:21 “naam, nilipokuwa nikinena katika kuomba, mtu yule, Gabrieli, niliyemwona katika njozi hapo kwanza, akirushwa upesi, alinigusa panapo wakati wa dhabihu ya jioni”. Kurushwa upesi kunakozungumziwa hapo ni “kuruka kwa haraka” au kwa lugha rahisi zaidi ni “kuruka/kupaa kwa spidi”. Ndege wa angani huruka kwa upesi..Kwa mfano ni rahisi kumsogelea ndege kama … Continue reading Swali: Kurushwa upesi kunakozungumziwa katika Danieli 9:21 ndio kupi?