BIBLIA INAITAJA NJIA KUU YA MFALME, NJIA HII NI IPI?

Zamani  enzi za biblia  Njia kuu ya mfalme, ilikuwa ni njia iliyotengenezwa mahususi kuunganisha mataifa mengi na miji mingi, na lengo lilikuwa ni kurahisisha shughuli za kibiashara na usafirishaji katikati ya mataifa hayo wana chama., njia hiyo ilitoka Misri, na  kupita Yordani, na moja kwa moja mpaka Nchi ya Syria, ..Ilikuwa ni maarufu kwa mataifa … Continue reading BIBLIA INAITAJA NJIA KUU YA MFALME, NJIA HII NI IPI?