Neno hili linatwa mara nyingi sana katika biblia, sana sana mahali ambavyo vinatajwa vizazi vya wana wa Israeli. Mbari, kwa jina lingine ni UKOO. Kwamfano unaweza kukutana na sehemu fulani inasema, “hawa ndio wakuu wa mbari za baba zao”. Hapo inamaanisha kuwa “hao ndio wakuu wa ukoo wa baba zao”, Vifuatavyo ni baadhi ya vifungu … Continue reading Mbari ni nini kibiblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed