Nini maana ya neno ‘Kuabiri’ kama linavyotumika katika biblia?
Kuabiri maana yake ni kupanga safari, husasani ile ya majini, Neno hilo ndilo lililozaa neno abiria, ikiwa na maana wale wanaosafiri. Utalisoma sana sana katika zile ziara za mtume Paulo, na ile safari yake ya kuelekea Rumi kama mfungwa. Vifuatavyo ni vifungu ambavyo utakutana na neno hilo. Matendo 20:13 “Lakini sisi tukatangulia kwenda merikebuni,TUKAABIRI kwenda … Continue reading Nini maana ya neno ‘Kuabiri’ kama linavyotumika katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed