Wale mamajusi walikuwa ni wakina nani?

Jibu: Tofauti na inavyodhaniwa na wengi kuwa wale mamajusi walikuwa ni wasoma nyota au watu wenye elimu na nyota (wanajimu)..lakini ukweli ni kwamba hawakuwa wanajimu wala wachawi, wala wasoma nyota. Mamajusi ni watu ambao hawakuwa wayahudi (yaani waisraeli) biblia inasema walitoka Mashariki,. Katika Nyakati za biblia, likizungumzwa neno mashariki lilikuwa linalenga maeneo ya Babeli au … Continue reading Wale mamajusi walikuwa ni wakina nani?