IFAHAMU HUZUNI NA FURAHA YA MALAIKA.

Shalom, karibu tena tuyatafakari maneno ya Bwana wetu Yesu, biblia inasema manabii wengi na wenye hekima walitamani sana kusikia tunayoyasikia na kuyaona tunayoyaona lakini hawakupata neema hiyo, Lakini mimi na wewe tumepewa neema ya kuyasikia maneno ya Bwana wetu Yesu. Ni furaha iliyoje? Yesu ambaye aliiumba dunia kwa Neno lake, leo hii inakaa na sisi … Continue reading IFAHAMU HUZUNI NA FURAHA YA MALAIKA.