Kiango na Pishi ni nini (Mathayo 5:15)?

Kiango ni kifaa maalumu cha kushikilia au kuning’inzia taa, tazama picha, kwa jina lingine kinaitwa kinara. Na nilazima kinyanyuke au kiwe sehemu ya juu kidogo, ili kuruhusu mwanga wa hicho kilicho juu yake (yaani taa) kuangaza mahali pote. Na Pishi ni bakuli dogo, au kapu ndogo. Tazama picha, Hivi ni vifungu ambavyo utaweza kukutana na … Continue reading Kiango na Pishi ni nini (Mathayo 5:15)?