Nini maana ya “yasiyokuwapo hayahesabiki”(Mh 1:15)

JIBU: Tusome mstari wenyewe. Mhubiri 1:15 “Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki”. Hapo utaona vipengele viwili, cha kwanza ni: Yaliyopotoka hayawzi kunyoshwa. Na cha pili ni yasiyokuwapo hayahesabiki. Tukianzana na hicho cha kwanza cha Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa,..Tukumbuke kuwa kitabu cha Mhubiri ni kitabu kinachoeleza juhudi za mwanadamu za kutafuta suluhu ya mambo yote yaliyopo duniani … Continue reading Nini maana ya “yasiyokuwapo hayahesabiki”(Mh 1:15)