FAHAMU UWIANO MUNGU ANAOHITAJI KUUONA KWETU.

Ipo kanuni moja ya Mungu, ambayo ni vema sisi sote tukaifahamu. Kanuni hiyo ni kuwa Mungu huwa hafanyi mambo yote peke yake, japo anaouwezo wa kutenda mambo yote yeye mwenyewe, lakini ni kanuni aliyojiwekea kwamba sehemu kubwa aitende yeye mwenyewe, na abakishe sehemu ndogo sana ambayo atashirikiana na viumbe vyake, au mwanadamu kuitenda. Kwamfano Pale … Continue reading FAHAMU UWIANO MUNGU ANAOHITAJI KUUONA KWETU.