MATARAJIO YA KILA MWANADAMU DUNIANI NI YAPI?

Nakusalimu katika jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujikumbushe mambo ya msingi ambayo bila shaka moja ya hizi siku tutayaona yakitokea ulimwenguni.  Kwa kawaida ulimwengu umeundwa na makundi mengi ya watu, na kila kundi ni lazima utakuta kuna mtu Fulani linamtazamia, ambaye wanaamini ataulimwengu umeundwa na makundi mengi ya watu, na kila kundi … Continue reading MATARAJIO YA KILA MWANADAMU DUNIANI NI YAPI?