Neno Buruji lina maana gani katika biblia?

Buruji ni aina ya mnara ambao ulijengwa¬† zamani mahususi kwa ajili ya kuvamia kambi za maadui zilizojengwa kwa kuta ndefu. Kwa namna ya kawaida ilikuwa ni ngumu kuvamia ngome za namna hiyo..kwani askari walikaa juu ya kuta hizo ndefu wenye mishale ya moto na mawe mazito..kwahiyo kama nyinyi mtakwenda kushindana nao kwa njia za kawaida … Continue reading Neno Buruji lina maana gani katika biblia?