VIKAANGUKA MACHONI PAKE VITU KAMA MAGAMBA.
Wakati mwingine Mungu anatumia njia za dhahiri kabisa kufunua yale yanayoendelea rohoni. Kwamfano utaona wakati ule Yesu anakutana na yule kichaa, na kuyaamuru yale mapepo yamtoke, tukio lililofuata baada ya pale ni wale nguruwe kupelekwa moja kwa moja ziwani na yale mapepo na kuuliwa huko. Hiyo ni kufunua kuwa mapepo hayana malengo mengine zaidi ya … Continue reading VIKAANGUKA MACHONI PAKE VITU KAMA MAGAMBA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed