Nini maana ya “Tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii”?
Jibu: Tusome.. Waefeso 2: 20 “Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni”. Katika mstari huo yapo mambo makuu mawili ya kuzingatia kwa makini. 1) Msingi na 2) Mitume na manabii Tukianza na Msingi. Hapo anasema mmejengwa juu ya “Msingi” na si “misingi”. Maana yake ni … Continue reading Nini maana ya “Tumejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii”?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed