Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji zilikuwaje?
Jibu: Katika agano la kale zilitolewa sadaka mbali mbali, na sadaka zote zilizotolewa zilikuwa ni lazima zifike madhabahuni pa Mungu, ili sadaka iitwe sadaka ni lazima ihusishe madhabahu. Isipohusisha madhabahu hiyo haiitwi tena sadaka bali mchango, au zawadi, au msaada. Lakini chochote kinachotolewa na kupelekwa kwenye madhabahu ya Mungu, hicho kinaitwa sadaka. Sasa katika agano … Continue reading Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji zilikuwaje?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed