Je watu ambao hawajasikia kabisa injili watahukumiwa?
SWALI: Watu ambao hawajasikia kabisa injili, halafu wakafa katika kutokujua chochote kuhusu Yesu, je wao huhesabika kuwa hawana dhambi? Kufuatana na andiko hili? Yohana 15:22 “Kama nisingalikuja na kusema nao, wasingalikuwa na dhambi; lakini sasa hawana udhuru kwa dhambi yao”. JIBU: Yesu hakumaanisha kuwa mtu yoyote ambaye hakusikia habari zake, kuwa hatahukumiwa kabisa hapana, bali … Continue reading Je watu ambao hawajasikia kabisa injili watahukumiwa?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed