JE! NI WAPI UTAPOKEA HISIA ZA KWELI ZA KI-MUNGU?

Yapo mambo mengi yasiyo ya kawaida aliyoyafanya Bwana Yesu..Lakini kuna mojawapo ningependa tujifunze leo.. Na jambo lenyewe linapatikana katika habari hii.. Marko 7:32 “Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi amwekee mikono. 33 Akamtenga na mkutano faraghani, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa ulimi, 34 akatazama juu mbinguni, AKAUGUA, akamwambia, Efatha, maana yake, … Continue reading JE! NI WAPI UTAPOKEA HISIA ZA KWELI ZA KI-MUNGU?