Nini maana ya “wanawake saba watamshika mtu mume mmoja”

SWALI: Isaya 4:1 na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe lakini tuitwe  tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Je; andiko hili linamaanisha nini? Kwanini wanawake? Kwanini wawe saba? Kwanini chakula chao na nguo zao na sio za mume wao? maana yake mume akioa … Continue reading Nini maana ya “wanawake saba watamshika mtu mume mmoja”