Je ni kweli imani ya mtu ndiyo itakayomuokoa, na si kitu kingine?
JIBU: Kama ulishawahi kuwahubiria watu kadha wa kadha habari za wokovu, naamini ulishawahi kukutana na watu baadhi wakikueleza, maneno haya, kwamba haijalishi wewe ni dini gani, au unaamini nini, imani yako ndiyo itakayokuokoa, ukiwa na imani kuwa Mungu yupo, hilo tu, linakutosha, hayo mengine si ya muhimu sana. Atakuambia hata anayeabudu kupitia mti, au anayeabudu … Continue reading Je ni kweli imani ya mtu ndiyo itakayomuokoa, na si kitu kingine?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed