Maziwa yasiyoghoshiwa ni nini? Kwanini biblia inatumia mfano huo?

1Petro 2:1 “Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote. 2 Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa