Mfalme Ahazia alianza kutawala akiwa na umri gani?

SWALI: tukisoma  2Mambo ya Nyakati 22:2.Inasema Hivi.. “Ahazia alikuwa na umri wa miaka AROBAINI NA MIWILI ALIPOANZA KUTAWALA; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri”. NA tena Tukisoma  2Wafalme 8:26 inasema Hivi.. “;Ahazia alikuwa na umri wa miaka ISHIRINI NA MIWILI ALIPOANZA KUTAWALA; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu. Na … Continue reading Mfalme Ahazia alianza kutawala akiwa na umri gani?