KWA WALE WALIO NJE “YOTE” HUFANYWA KWA MIFANO.

Nakusalimu katika jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo, ambaye yeye peke yake ndiye Mungu, aliyeshuka katika mwili wa kibinadamu kutukomboa sisi. Yapo mambo ambayo hatuwezi kudhania kama Bwana Yesu angeyafanya alipokuwa hapa duniani.. Japo alikuja kweli kutuokoa, lakini hakuufanya wokovu kuwa mrahisi kiivyo kama wengi tunavyodhani. Yesu havutiwi na wingi wa watu  wanaokuja  … Continue reading KWA WALE WALIO NJE “YOTE” HUFANYWA KWA MIFANO.