Ufunuo 12 inaelezea vita vya wakati upi?

Swali: Yale maelezo ya Ufunuo 12:7-12, yanaeleza vita vya wakati upi?, ile ya kwanza kabisa kabla ya sisi kuumbwa au kuna nyingine iliyotokea tena? Zipo vita mbili kuu zinazowahusu shetani na Malaika watakatifu. Vita ya kwanza: Ni ile iliyopiganwa mbinguni, zamani sana kabla ya wanadamu kuumbwa,  pale ambapo ibilisi (yaani shetani), alipoasi kwa kutamani kuwa … Continue reading Ufunuo 12 inaelezea vita vya wakati upi?