NIFANYALO WEWE HUJUI SASA; LAKINI UTALIFAHAMU BAADAYE.

Wakati ule ambao Bwana Yesu anawatawadha wanafunzi wake miguu, Petro alimuuliza Bwana swali la mshangao sana, lililoashiria kugoma kutawadhwa miguu na Bwana, kwasababu alitazamia kuwa wao ndio wangepaswa wamtawaze yeye miguu, na sio yeye awatawadhe wao, Lakini Bwana alimwambia maneno haya; Yohana 13:7 “Yesu akajibu, akamwambia, Nifanyalo wewe hujui sasa; lakini utalifahamu baadaye”. Nachotaka uone … Continue reading NIFANYALO WEWE HUJUI SASA; LAKINI UTALIFAHAMU BAADAYE.