saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada

SWALI: Nini maana ya “saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada?” Jibu: Unabii huo Bwana Yesu aliutoa kwa wanafunzi wake, pamoja na wote ambao watakuja kumwamini baadaye, kwamba utafika wakati kila ambaye atawaua, au kuwatesa atadhani kuwa anamtolea Mungu ibada.  Hiyo ni kuonyesha kwamba mateso ya watu wa Mungu, yanaanzia ndani  … Continue reading saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada