Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika..

SWALI: Nini maana ya hili neno, Mathayo 21:44 “Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki. 45 Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao”. JIBU: Shalom. Maneno hayo aliyasema Bwana Yesu kuonyesha tabia ya jiwe hilo analolizungumzia. Hapo anaposema mtu atakayeanguka juu yake … Continue reading Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika..