BADO UPO YERUSALEMU TU..GALILAYA HUTAKI KWENDA?

Wakati ule Bwana Yesu anafufuka, utaona, lipo kundi la watu alilitokea akiwa kule kule Yerusalemu, lakini lipo kundi lingine alilipa masharti ni wapi ataka