“Yodi” ni nini kama tunavyoisoma katika Mathayo 5:18?

Jibu: Tusome, Mathayo 5:18 “Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie”. Yodi ni neno lililotumika katika lugha ya Kiswahili cha zamani, lenye maana ya “herufi ndogo”.. kwa lugha ya kiingereza ni “small letter”. Katika sentensi yoyote huwa kunakuwa na herufi kubwa na herufi … Continue reading “Yodi” ni nini kama tunavyoisoma katika Mathayo 5:18?