Nini maana ya usimfunge ng’ombe kinywa apurapo nafaka!.(Kumbukumbu 25:4)
Jibu: Neno kupura maana yake ni “kutenganisha mbegu ya nafaka kutoka katika suke lake”. Kwamfano tunapozitoa punje za ngano, au mchele kutoka katika masuke yake, hapo tunakuwa tumezipura hizo nafaka, tunapotoa maharage kutoka katika yale maganda yake, hapo tumepura maharage. Sasa zipo njia nyingi za namna ya kupura nafaka, zamani njia maarufu zilizokuwa zinatumika ni … Continue reading Nini maana ya usimfunge ng’ombe kinywa apurapo nafaka!.(Kumbukumbu 25:4)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed