Shalom! karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu, taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu, iendayo mbinguni. Katika biblia tunaona yapo maagizo mengi ambayo Mungu wetu ametupatia Moja kwa moja, Kwamfano agizo la Upendo!. Hili ni agizo ya kwamba ni lazima tupendane! 1Yohana 3:10 “Katika hili watoto wa Mungu ni dhahiri, na watoto … Continue reading MAAGIZO AMBAYO HAYAJAAGIZWA!
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed