MUNGU HAONI SHIDA KUMUHAKIKISHIA MWOVU ULINZI.

Baada ya Kaini kumuua ndugu yake, na Mungu, kumlaani kwa laana ile ya kwamba atakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani, utaona alimwomba Bwana ampunguzie adhabu yake, na baada ya kupunguziwa kwa kutiwa alama, haikuishia hapo,  bado Mungu alimuhakikishia usalama mwingine wa juu Zaidi.  Tusome; Mwanzo 4:14 “Tazama, umenifukuza leo katika uso wa ardhi, … Continue reading MUNGU HAONI SHIDA KUMUHAKIKISHIA MWOVU ULINZI.