KAMA VILE UMEME UTOKAVYO MASHARIKI UKAONEKANA HATA MAGHARIBI.
Ni kipi kinakupa ujasiri wa kuishi ukristo ya juu juu tu ndugu ? Bwana atusaidie tujue majira tunayoishi.. Ulishawahi kutafakari kwa makini kwanini Bwana alifananisha kuja kwake na umeme? Kama tunavyosoma katika kitabu cha Mathayo 24:27-28 “Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 28 … Continue reading KAMA VILE UMEME UTOKAVYO MASHARIKI UKAONEKANA HATA MAGHARIBI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed