Je Elisha alimdanganya Ben-hadadi kuwa hatakufa kwa ugonjwa wake?

SWALI: Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, samahani naomba kuuliza swali kwenye 2Wafalme 8:7-15. Kwanini Elisha alimwambia Hazaeli amwambie mfalme kuwa atapona na wakati Bwana alimuonyesha Elisha kuwa mfalme atakufa. Je! Ni kwanini Elisha alisema hivyo?. Je! Ni kweli alidanganya? Na ni kwanini alifanya hivyo? JIBU: Tusome vifungu vyenyewe kwa faida ya wengine pia.. 2Wafalme … Continue reading Je Elisha alimdanganya Ben-hadadi kuwa hatakufa kwa ugonjwa wake?