TABIA ZA WATAKAOMKARIBIA SANA MUNGU SIKU ILE.

Kwa mara ya kwanza Yohana alionyeshwa maono ya jinsi mbinguni kulivyo, na mfumo wake mzima wa utawala ulivyojiunda. Tukisoma mambo yale tusidhani, Mungu alikuwa anamuonyesha Yohana sinema tu ya mbinguni jinsi kulivyo, Hapana zipo siri kubwa sana zinazotuhusu sisi, endapo tutazitambua. Leo kwa ufupi tutazama ngazi hizo, na ni jinsi gani zilivyoficha siri za sisi … Continue reading TABIA ZA WATAKAOMKARIBIA SANA MUNGU SIKU ILE.