Ni yupi aliyekuwa mkwe wa Musa kati ya Reueli na Yethro?

JIBU: Ukisoma katika kitabu cha Kutoka, utaona kuna habari kama inajichanganya kuhusiana na baba-mkwe halisi wa Musa, Kwamfano Kutoka 2:18 Inasema aliitwa Reueli, lakini sehemu nyingine zote zilizosalia kama vile Kutoka 3:1,4:18, inamtaja kama ni Yethro. Je  kuna makosa ya kiuandishi? Embu tusome baadhi ya vifungu hivyo; Kutoka 2:15 “Basi Farao alipopata habari, akataka kumwua … Continue reading Ni yupi aliyekuwa mkwe wa Musa kati ya Reueli na Yethro?