Makuruhi ni nini, kama tunavyosoma katika biblia?
Makuruhi; Ni neno linalomaanisha “kuchukiza kuliko pitiliza”, Kwa mfano mtu akisema mabeberu ni makuruhi kwa waafrika. Anamaanisha kuwa mabeberu ni watu wanaochukiza sana/ au ni harufu mbaya sana kwa waafrika, hawapendwi hata kidogo. Na hiyo yote ni kwasababu ya maumivu ambayo pengine walishawahi kuyapata kutoka kwao enzi za utumwa. Vivyo hivyo neno hili katika biblia … Continue reading Makuruhi ni nini, kama tunavyosoma katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed