UTAONA MAMBO MAKUBWA KULIKO HAYA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo litukuzwe milele. Karibu tujifunze Neno la Mungu.  Kuna wakati sisi wenyewe ndio tunakuwa kikwazo cha Kristo kujifunua kwetu katika utimilifu wake wote, na hiyo yote ni kwasababu tuna mioyo miwili miwili kwake. Leo tutaangalia makundi mawili ya watu. Moja ni wale mafarisayo, na la pili ni mitume wa Yesu … Continue reading UTAONA MAMBO MAKUBWA KULIKO HAYA.