UKIOKOKA,HIZI FIKRA ZIKIJA NDANI YAKO, ZIKATAE.
Kuna silaha ambazo nataka ufahamu shetani anazozitumia kwa watu ambao wanakaribia kuokoka, au waliookoka lakini bado ni wachanga katika imani. Silaha hizo, zimewafanya watu wengi waishi katika hofu, na misongo mikubwa ya mawazo, mimi nikiwa mmojawapo kabla sijaokoka. Nataka nikuambie mawazo haya yakikujia, yakatae kwa nguvu zako zote, kwasababu ni vita vya kifikra ambavyo shetani … Continue reading UKIOKOKA,HIZI FIKRA ZIKIJA NDANI YAKO, ZIKATAE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed