MUNGU HATAZAMI MOTO WA KIGENI,KUWA MAKINI!

Zamani nilipokuwa mdogo nilijaribu kufanya zoezi ambalo lilikuwa ni hatarishi kwangu. Nilidhani, kila “balbu” ilihitaji kitu kinachoitwa “Umeme”tu  bila kujua ni umeme kiasi gani unahitajika ili uwake. Hivyo, siku hiyo nikachukua nyaya mbili, nikazichomeka moja kwa moja kwenye soketi, lengo langu ni zile nyaya nitakapozigusanisha  sasa na  balbu nione ikiwaka, nifurahie. Lakini nilipozigusanisha tu zile … Continue reading MUNGU HATAZAMI MOTO WA KIGENI,KUWA MAKINI!