KATIKA MLIMA WA BWANA ITAPATIKANA.
Jina la Bwana wetu Yesu, libarikiwe, karibu tujifunza biblia.. Mwanzo 22: 6 “ Basi Ibrahimu akazitwaa kuni za hiyo sadaka, akamtwika Isaka mwanawe; akatwaa moto na kisu mkononi mwake, wakaenda wote wawili pamoja. 7 Isaka akasema na Ibrahimu baba yake, akinena, Babangu! Naye akasema, Mimi hapa, mwanangu. Akasema, Tazama! Moto upo, na kuni zipo, lakini … Continue reading KATIKA MLIMA WA BWANA ITAPATIKANA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed