UKIOKOKA, JIANDAE KUPITISHWA USIPOPATAZAMIA.
Kama leo hii Mungu akikutoa katika utumwa wa dhambi (Yaani kuokoka), basi weka akilini kuwa unapopelekwa kutakuwa ni nje ya matarajio yako, na pengine pasiwe ni pa kuvutia kabisa katika macho yako. Ni vizuri tukafahamu njia za Mungu, ili pale tunapokutana nazo tusiwe ni watu wa kulaumu laumu, au kuuliza uliza ni kwanini hivi, kwanini … Continue reading UKIOKOKA, JIANDAE KUPITISHWA USIPOPATAZAMIA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed