SISI NI WINDO BORA SANA, LA DHAMBI.
Dhambi inafananishwa na mnyama mkali sana wa porini, kama vile simba au chui, au chatu. Utagundua tabia moja waliyonayo hawa wanyama pale wanapowinda ni kuwa hawana papara, Wanakuwa wavumilivu sana mbele ya kitoweo chao, hawakurupuki ovyo kwa kuanza kukikimbiza kutokea mbali, hapana, bali utaona wanajisogoza karibu navyo, taratibu na kwa upole sana, na kwa kuvizia,kana … Continue reading SISI NI WINDO BORA SANA, LA DHAMBI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed